Gani Adams

Ganiyu Adams (anajulikana sana kama chifu Gani Adams; alizaliwa 30 Aprili 1970) ni mwanaharakati, mwanasiasa, na kiongozi wa jadi kutoka Nigeria. Pia ni Aare Ona Kakanfo wa 15[1] wa ardhi ya Yoruba.

  1. "No comparison between Alaafin, Aare Onakakanfo chiefs ―Gani Adams". Vanguard News (kwa American English). 2020-01-16. Iliwekwa mnamo 2022-03-14.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne